Nyumba nzuri Inapangishwa Ubungo

Habari njema kwa wahitaji wa Nyumba ya FAMILIA

IPO  UBUNGO MSEWE

date listed: 20-09-2016

Umbali kutoka barabarani ni 1.5km

Kwenye compound Kuna wapangaji wawili

Nyumba ni mpya haijawahi Kukaliwa na mtu

Bei yake ni 500,000/=

Malipo ni Kodi ya miezi sita ambayo ni Mil 3

Bila kusahau hela ya mwezi mmoja wa dalali

MAZINGIRA YA NYUMBA

Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala,  kimoja ni self, Sebule with dining,Jiko na public toilet

Nyumba ni ya kisasa full tiles,Gypsum and Windows sliding

Gharama za kukagua Nyumba ni 10,000/=
Kwa siku.

Contacts
0712617602
0712617602
0712617602
0712617602

Nyumba Inapangishwa kimara korogwe

NYUMBA INAPANGISHWA

Date listed: 09-07-2016

Location: Kimara korogwe

Distance from main road is 1km

Contains
Vyumba vinne vya kulala, kimoja ni self, sebule kubwa with dining room, Jiko na public toilet

Nyumba Inajitegemea ndani ya fensi
Ina AC chumbani kwenye masta na sebuleni

Fully tiles na sliding windows

Bei: 500,000/=

Malipo ni kodi ya miezi sita

Contacts
0712617602

Apartment Nzuri Inapangishwa kimara

Hello

Apartment  Inapangishwa

Date listed: 07-09-2016

Location: kimara korogwe

Distance from main road is 1.5km

Contains
Vyumba viwili vya kulala, Kimoja self, Sitting room, Kitchen na Public toilet

Nyumba ni mpya na ya kisasa
Full tiles and aluminium windows

Maji ya dawasco yapo na yanatoka ndani ya Nyumba  pia  Luku yakujitegemea

Bei: 400,000/=

Malipo ya miezi sita

Contacts
+255712617602

Nyumba Inauzwa KIGAMBONI bei Poa

Nyumba Inauzwa

Date listed: 31-08-2016

Location: Kibada KIGAMBONI

Contains
Vyumba vitatu vya Kulala, kimoja wapo Ni self contained, Sebule, Jiko, Store na Choo cha ndani

Nyumba ina uwanja wa 1200SQM

BEI: MIL 80

CONTACTS
0712617602

Appartment Nzuri Inapangishwa Kimara Suka

New Appartment for RENTAL

Date listed:30-08-2016

Location: Kimara Suka

Distance from the main road: 3mins

Contains
Two bedroom were one bedroom is self contained, sitting room with Dining room, kitchen and public toilet

The Appartment is fenced and tiled, full of AC

Price: 600,000/=

Term of payments is six months

Contacts
0712617602

Nyumba Inauzwa Ukonga

Nyumba Inauzwa

Date listed: 19-08-2016

Location: Ukonga Kipunguni B

Contains
Vyumba vitatu vya Kulala, Kimoja self, Living room,Dining room, Kitchen na public toilet

Nyumba iko ndani ya fensi

Nyumba Ina square meter 573

Nyumba ina kisima cha maji

Nyumba ina leseni ya makazi

Bei: 80m

Contacts
+255712617602

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara

Nyumba inapangishwa

Date listed: 18-08-2016

Location: Kimara Bucha

Distance from main road: 2mins

Contains
Vyumba viwili vya Kulala, kimoja Ni Master sebule, Open kitchen na choo chá nje

Nyumba ni mpya Ipo kwenye hatua za mwisho

Nyumba haina fensi

Gari inafika mpaka nyumba ilipo

@full AC@slidingWindows@Tiles

Price: 300,000/=  Kodi ya miezi kumi

Contacts
+255712617602

Kama una nyumba ya kupangisha au kuuza ,Kiwanja, Magari, Mashamba wasiliana nasi kwa nambari za hapo juu